Kibibi gan emmytaKwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.
Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
usiku huu nani atatoka njeBando kwisha tuma basi
HheheheheKwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.
Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kapeace dam yang uuuiUkitajwa unatutumia walau kapicha tukuone
Mimi napenda nikutane na member yoyote anaenikubali
We jini gani sasa
[emoji120] [emoji120] [emoji120] nauli nasubiri ili tuonane ila sasa usije nikimbiaKapeace dam yang uuui
Dawa ni kuwatenganisha tu, mmoja Dar mwingine Mtwara maana wake wenza mkipatana jamaa yupo mashakaniHapana, ni mipango mikakati na ujamaa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaha
Ila kuna mmoja mwaka juzi alinivunja mbavu anaitwa mama mtarajiwa... Alisema amekutana na mwanaume wa JF lipua lake linafunika uso na mwili hautoshi kwenye camera ya simu...
Haha nyie wanawake wa JF mnapenda kutuonea nyie..
Nakutafuta zaidi ya pesa hebu ukunje weye mwanamkeSante sergio[emoji120][emoji120]
Na ndio tunapatana sasa, hapa nikupanga ni mpango kabambe mpaka anyooke.Dawa ni kuwatenganisha tu, mmoja Dar mwingine Mtwara maana wake wenza mkipatana jamaa yupo mashakani
Andaa pad hizo niandalie newcastle mapema hapo.Natamani nikutane na wengi mno Joseverest,DJ,Mwifa,Nahuja,Emmyta,shunie,Linamo,Ukuthy,Bonny,Sky,Kichwa kichafu,Young blood,Carba,Eric Otieno na kuna mmoja special baby mama naomba nisikutaje unajijua
Mi changu kipyaaa yani ndio kwanza nakitoa gandani!Mwenye kisu kikali ndo ataewmtangulia kushiba
Hahahaaa!! Sura haitoshi kwenye camera, nilicheka ile siku.Hahaha