Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Kwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.

Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kibibi gan emmyta
 
Mshanajr....huyu jamaa anaakili sana. Natamani kumuona nikae naye japo kwa muda mchache tuzungumze anipe siri ya kujua mambo mengi namna hii..
 
Kwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.

Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hhehehehe
 
Hahaha
Ila kuna mmoja mwaka juzi alinivunja mbavu anaitwa mama mtarajiwa... Alisema amekutana na mwanaume wa JF lipua lake linafunika uso na mwili hautoshi kwenye camera ya simu...

Haha nyie wanawake wa JF mnapenda kutuonea nyie..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahaha
Ila kuna mmoja mwaka juzi alinivunja mbavu anaitwa mama mtarajiwa... Alisema amekutana na mwanaume wa JF lipua lake linafunika uso na mwili hautoshi kwenye camera ya simu...

Haha nyie wanawake wa JF mnapenda kutuonea nyie..
Hahahaaa!! Sura haitoshi kwenye camera, nilicheka ile siku.
 
Back
Top Bottom