Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Pamoja mkurugenzi.Naikumbuka sana boss, nafkiri ndio itatukutanisha siku moja
Jamaa anakuambia ni master na dinning hahaha...Hahahaaaaaa!!! Usinikumbushe ya ile mansion kwakweli. Si unajua mtu akiamua kukuchoka anakuchoka kweli kweli.
InshallahAhante sana mkuu Chupayamaji. Usijali ipo siku tutaonana panapo majaliwa.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Wow..santeeee. don't worry ipo siku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa anakuambia ni master na dinning hahaha...
Handcap kabisa huu utakuwa utani wa ngumi askari.Mbwana anakuua mkuu na nakupa gori 2
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji109][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo master sijui kaweka stuli!!!
Natamani kukuona wewe mkuu
Nakusabahi mpenzi.Wow..santeeee. don't worry ipo siku.
[emoji23] [emoji23] ndo naisubiria hapaZawadi umepata?
Salute ninjahahaha [emoji28][emoji23]
The bold
Maserati
Mshana
Sakayo
lin
Kichwa kichafu
Sky
Heaven sent
Evelyn salt
Joseverest
Behavorist
Sergio
Farmer poutry
wengine ID zao ngumu kuziandika sikumbuki spelling aisee..
Ahaaa, sasa dawa yenu moja, tutamwambia awazalishe faster faster, yaani mwaka mtoto mwaka mimba mpaka mumpe shikamooHadi aongeze atakuwa ashafilisika hana ujanja, maana mkiwa na pesa ndio huwa mnapata ujanja wa kuongeza mke.
Nawafungaga hadi wananuna mkuu jipangeHandcap kabisa huu utakuwa utani wa ngumi askari.
Sijambo mpenzi. Hutaki kuniona???Nakusabahi mpenzi.
Bas naww uww ata na vmanjonjo sio ka unasoma gazetiUkiwa fundi bwa ... Linageuka jangwa