Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Hahahaaaaaa!!! Usinikumbushe ya ile mansion kwakweli. Si unajua mtu akiamua kukuchoka anakuchoka kweli kweli.
Jamaa anakuambia ni master na dinning hahaha...
 
Back
Top Bottom