We tena!! Twende minduuuuu tukavute na yale mambo kabisa.Sijambo mpenzi. Hutaki kuniona???
Hivi ulifika salama kweeli... Maana toka jana kimya??!!!hahaha wee Sakayo wewee...
salama kabisa.
Mimi badoNilotamani kuonana nao tayari nishaonana nao, hivyo haina haja ya kuwataja.
Uzuri ni kuwa uamuzi wa lini tushike mimba au tusishike tunao sisi. Kwahiyo hilo pia limefail.Ahaaa, sasa dawa yenu moja, tutamwambia awazalishe faster faster, yaani mwaka mtoto mwaka mimba mpaka mumpe shikamoo
Mkuu usicheke, naomba unisaidie kuandika sehemu majina yao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilifika aiseee, na zile mvua nilikuta maji ndani ikabidi nianze kazi ya kuyatoaa...Hivi ulifika salama kweeli... Maana toka jana kimya??!!!
JamaaniNilifika aiseee, na zile mvua nilikuta maji ndani ikabidi nianze kazi ya kuyatoaa...
Vionjo muhimu ukiingia yanamwagikia lkn kwa utundu na ushirikiano ah mbn utashangaa ishakuwa jangwaBas naww uww ata na vmanjonjo sio ka unasoma gazeti
Daby tuonane bhasi mkuu au?Aseeh majukumu tu ya kawaida boss.... Nakuona bwana unakamatia fursa huko juu
hahahahah [emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] walaaaJamaani
Pole mnooo jamani, nkajua nilikutisha na sura yangu ya baba
Mh haya nitajieMkuu usicheke, naomba unisaidie kuandika sehemu majina yao.
Ikiwezekanik mzee.... Nipe ramani ya ulipo... Mimi nipo NamtumboDaby tuonane bhasi mkuu au?
Alafu kweli, ndio ninajipanga hapa nifunge safari nije kwa mtogole huko tonane mama.Mimi bado
Asante mama D[emoji23] [emoji23]Asante muosha naniliu tunakukubali sana unajua we ni zaidi ya mtani kwetu tukianza kukutania kama babu yetu Mungu azidi kukutunza [emoji7][emoji7]
Mimi nipo mkoa mwanza wilaya IlemelaIkiwezekanik mzee.... Nipe ramani ya ulipo... Mimi nipo Namtumbo
Sawa bwana, siku nyingine ukifika nyumbani uwe unasema basi maana kidogo nibadili idhahahahah [emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] walaaa
siwezi kutishika mwanaume.
Dah! Nyie kweli alqaida, basi tutamwambia afanye divide and rule, ampende saana mmoja wenu, awe anamwagia mizawadi kilasiku yeye peke yake, mwingine ataona wivu ushost utaisha jamaa yetu atabaki salamaUzuri ni kuwa uamuzi wa lini tushike mimba au tusishike tunao sisi. Kwahiyo hilo pia limefail.
Njoo basi namtumbo nitakupa nauli ya kurudi.Mimi nipo mkoa mwanza wilaya Ilemela
Sehemu moja inaitwa Igoma
Karibu mkuu, ukiniambia siku na saa tutakukaribisha na reception ya mdundiko. Anza kufanya mazoezi ya kucheza kama si mtaalamuAlafu kweli, ndio ninajipanga hapa nifunge safari nije kwa mtogole huko tonane mama.
Uzuri ni kuwa tunaambiana kila kitu, kwahiyo akipewa mmoja tunagawana. Atashangaa alichokitoa kwa mdogo anakikuta na kwa mkubwa.Dah! Nyie kweli alqaida, basi tutamwambia afanye divide and rule, ampende saana mmoja wenu, awe anamwagia mizawadi kilasiku yeye peke yake, mwingine ataona wivu ushost utaisha jamaa yetu atabaki salama