Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Uzuri ni kuwa uamuzi wa lini tushike mimba au tusishike tunao sisi. Kwahiyo hilo pia limefail.
Dah! Nyie kweli alqaida, basi tutamwambia afanye divide and rule, ampende saana mmoja wenu, awe anamwagia mizawadi kilasiku yeye peke yake, mwingine ataona wivu ushost utaisha jamaa yetu atabaki salama
 
Uzuri ni kuwa tunaambiana kila kitu, kwahiyo akipewa mmoja tunagawana. Atashangaa alichokitoa kwa mdogo anakikuta na kwa mkubwa.
 
Back
Top Bottom