Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Hahaha
Ila kuna mmoja mwaka juzi alinivunja mbavu anaitwa mama mtarajiwa... Alisema amekutana na mwanaume wa JF lipua lake linafunika uso na mwili hautoshi kwenye camera ya simu...


Haha nyie wanawake wa JF mnapenda kutuonea nyie..
Haaaaa haaaaa kwiiiii[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Sky Eclat

Yaani wewe nakupendaga bure inaonekana uko vizuri upstairs.....

Afu sema umenizidi umri.... ilikuwa nikufuate huko PM tumalizane Mkuu

Ubarikiwe sana huwa nafuatilia michango sana humu ndani.....
 
Ninaelewa mkuu
Hiyo isikutokee kwa mpenzi mliyeahidiana atakuja halafu umefanya usafi na nyama huwa unachukua robo siku hiyo umechukua nusu mchele umechukua wa mbeya ila siku zote unakula kitumbo.

Kakuahidi saa 6 atafika. Basi chakula kimeiva saa 5...utakachofanya ni kuchukua kitambaa kila dakika unapitisha kwenye table huku unachungulia nje.
 
Nyama yenyewe umekopa buchani na kwakuwa kupika hujui vizuri ukimuomba shost. Shost amekuja na watoto wake watatu wote wanasafisha tumbo leo. Alafu mlengwa anaadilisha mawazo last minute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…