Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
sawaSawa bwana, siku nyingine ukifika nyumbani uwe unasema basi maana kidogo nibadili id
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaSawa bwana, siku nyingine ukifika nyumbani uwe unasema basi maana kidogo nibadili id
Wewe juzi ulinifanya nipike chakula wala usitokeeNjoo basi namtumbo nitakupa nauli ya kurudi.
Nilishafanya zamani, yaani niko tayari kweli kweli. We andaa tu pilau.Karibu mkuu, ukiniambia siku na saa tutakukaribisha na reception ya mdundiko. Anza kufanya mazoezi ya kucheza kama si mtaalamu
My lovelyNataka nikutane na AVATAR zote za JF
Haha siunajua kipindi cha mvua hiki barabara za uswahili inabidi ushuke kwenye gari utembee na ndalaWewe juzi ulinifanya nipike chakula wala usitokee
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nataka kukutana na Mmiliki wa JF nikimpata huyo najua mission yangu itakuwa over.
Ninaelewa mkuuHaha siunajua kipindi cha mvua hiki barabara za uswahili inabidi ushuke kwenye gari utembee na ndala
Haaaaa haaaaa kwiiiii[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahaha
Ila kuna mmoja mwaka juzi alinivunja mbavu anaitwa mama mtarajiwa... Alisema amekutana na mwanaume wa JF lipua lake linafunika uso na mwili hautoshi kwenye camera ya simu...
Haha nyie wanawake wa JF mnapenda kutuonea nyie..
Ha haaaa weweeeeeee hebu twende basi.We tena!! Twende minduuuuu tukavute na yale mambo kabisa.
Hiyo isikutokee kwa mpenzi mliyeahidiana atakuja halafu umefanya usafi na nyama huwa unachukua robo siku hiyo umechukua nusu mchele umechukua wa mbeya ila siku zote unakula kitumbo.Ninaelewa mkuu
Ndiyo wewe nini?Haaaaa haaaaa kwiiiii[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mengne hayajichezesh, duh, ugaid tuuVionjo muhimu ukiingia yanamwagikia lkn kwa utundu na ushirikiano ah mbn utashangaa ishakuwa jangwa
My babyMh haya nitajie
Nyama yenyewe umekopa buchani na kwakuwa kupika hujui vizuri ukimuomba shost. Shost amekuja na watoto wake watatu wote wanasafisha tumbo leo. Alafu mlengwa anaadilisha mawazo last minute.Hiyo isikutokee kwa mpenzi mliyeahidiana atakuja halafu umefanya usafi na nyama huwa unachukua robo siku hiyo umechukua nusu mchele umechukua wa mbeya ila siku zote unakula kitumbo.
Kakuahidi saa 6 atafika. Basi chakula kimeiva saa 5...utakachofanya ni kuchukua kitambaa kila dakika unapitisha kwenye table huku unachungulia nje.