salim kimosa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 391
- 362
Shukran mkuu Mimi umri wangu ni sawa na Aspirin my babeSky Eclat
Yaani wewe nakupendaga bure inaonekana uko vizuri upstairs.....
Afu sema umenizidi umri.... ilikuwa nikufuate huko PM tumalizane Mkuu
Ubarikiwe sana huwa nafuatilia michango sana humu ndani.....
Sio machine tena ni ubongo?Mengne hayajichezesh, duh, ugaid tuu
Hawajui wanaume tunasex kwa ubongo??
Yawezekana Daby [emoji39] [emoji39] [emoji39]Ndiyo wewe nini?
Mpaka Butcher anarudia mara mbilimbili kukuuliza robo au nusu kashazoea wewe ni robo tu... Haha sky bwanaNyama yenyewe umekopa buchani na kwakuwa kupika hujui vizuri ukimuomba shost. Shost amekuwa na watoto wake watatu wote wanasafisha tumbo leo. Alafu mlengwa anaadilisha mawazo last minute.
Yes Mr DJMy baby
[emoji4] [emoji4] [emoji1] kwa hiyo ndiyo ukaamua kutuchekesha siku hiyo hivyo.Yawezekana Daby [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Haya maisha haya, wewe acha.Mpaka Butcher anarudia mara mbilimbili kukuuliza robo au nusu kashazoea wewe ni robo tu... Haha sky bwana
MajangaMpaka Butcher anarudia mara mbilimbili kukuuliza robo au nusu kashazoea wewe ni robo tu... Haha sky bwana
Mie sina anayenijua yawezekana naonekana meno tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji4] [emoji4] [emoji1] kwa hiyo ndiyo ukaamua kutuchekesha siku hiyo hivyo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Natamani nikutane na Mshana jr mada zake huwa zanikosha sana sana
Usishangae siku unakutana na mtu anakuja kukutangaza unamanynyo kama matikiti ya morogoro.... JF wanajijua wenyewe.Mie sina anayenijua yawezekana naonekana meno tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji120] ipo siku tutaonana tuuNatamani kukuona wewe mkuu
[emoji120] ipo siku tutaonana tuuNatamani kukuona wewe mkuu
Namtumbo ipo wapi mkuu Daby?Njoo basi namtumbo nitakupa nauli ya kurudi.