Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Nyama yenyewe umekopa buchani na kwakuwa kupika hujui vizuri ukimuomba shost. Shost amekuwa na watoto wake watatu wote wanasafisha tumbo leo. Alafu mlengwa anaadilisha mawazo last minute.
Mpaka Butcher anarudia mara mbilimbili kukuuliza robo au nusu kashazoea wewe ni robo tu... Haha sky bwana
 
Nitapenda kukutana na

*the bold (male)

*missnatafuta(female)

* Lara1(female)

Ni watu na spirit zao very unique,

Love you guys, very much.
 
[emoji4] [emoji4] [emoji1] kwa hiyo ndiyo ukaamua kutuchekesha siku hiyo hivyo.
Mie sina anayenijua yawezekana naonekana meno tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kapeace (Kampisi) na Miss natafuta.
Natamani ipatikane cku nikutane nao live.
Tamaa ya kutaka kuwaona ni aina yao ya comments wanazochangia humu.
Kwa ufahamu wangu, watu huletwa pamoja hadi kuwa marafiki ni kwa njia ya maongezi pekee.
Maongezi ndiyo husababisha kutambua kuwa huyu mtu ni wa level gani.
 
Mie sina anayenijua yawezekana naonekana meno tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Usishangae siku unakutana na mtu anakuja kukutangaza unamanynyo kama matikiti ya morogoro.... JF wanajijua wenyewe.
 
Aisee sina ata mmoja!sitakai kujuana na mtuh!
 
Back
Top Bottom