Twende ote tukaliwe na baby wetu..ila nitakutafuta unipe hizo mbinu aseeSiku ukitaka kwenda ukuje nikupe mbinu shareholder
mihangaiko inatuficha wakati mwingine. Ila tunashukuru Mungu kwa kutujalia pumzi hadi leo. hujambo lakini.Nani kakuficha?
Tukienda wote ntakupunja labda mi niwe refaTwende ote tukaliwe na baby wetu..ila nitakutafuta unipe hizo mbinu asee
Mie emmyta napenda story zakeKwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.
Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Haleluyaaah!!! halafu badilisha hiyo avatar basi...kila nikiiona huwa nafikiria we ni mchina ujue...Mbona mimi nilishakudondokea siku nyingi sema wewe ndo mgumu kuelewa[emoji13]
Pendekeza niweke ipi utakayoipenda?[emoji23]Haleluyaaah!!! halafu badilisha hiyo avatar basi...kila nikiiona huwa nafikiria we ni mchina ujue...
Kaveli huyu jamaa anajuwa hadi anaboa
Abeee, panda ndege mpk mwanza then meli Halafu basi mpk wilayani, hapo tena utachukua hiace mpk center ukifika hapo chukua bodaboda mpk kwenye mto, upande mtumbwi uvuke ng'ambo hapo sasa kuna baiskeli za kukodi mpk kwa mtendaji ushuke sababu kuna mteremko ivo huwezi tumia usafiri tembea kwa mguu km nusu saa tu utanikuta hapa nakusubiri mkuu,1. Kapeace
Jamani nimefanya nini? Hebu niambie basi.Nakumind sana ujue??..
Ni wewe kweli au macho yangu yananihujumu
Karibu hapa wilaya yenye flusa za kilimo APA mwanza kwimba nimekuandalia shamba ulime pampaWaooo, karibu sana. Sema tu uko wapi mie nikufate,. hahahahhaha
Nikikukuta Peponi ntashangaa..Sio kwa unavyonifanyia hiviJamani nimefanya nini? Hebu niambie basi.
Niko poa..Nafurahi kukuonamihangaiko inatuficha wakati mwingine. Ila tunashukuru Mungu kwa kutujalia pumzi hadi leo. hujambo lakini.
Bebi uko wapi sasa hivi...wahi kurudi nikuambie kituNikikukuta Peponi ntashangaa..Sio kwa unavyonifanyia hivi
Teh teh..Utakuwa umelamba asali ya nyuki wadogo..Sio kwa kunijaza hukoBebi uko wapi sasa hivi...wahi kurudi nikuambie kitu
Asali ya nyuki wadogo ndo inafanyaje tenaTeh teh..Utakuwa umelamba asali ya nyuki wadogo..Sio kwa kunijaza huko
Si naona unanipa maneno matamu..Unanibebisha wakati sio kawaida yakoAsali ya nyuki wadogo ndo inafanyaje tena