Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Kwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.

Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mie emmyta napenda story zake
 
1. Kapeace
Abeee, panda ndege mpk mwanza then meli Halafu basi mpk wilayani, hapo tena utachukua hiace mpk center ukifika hapo chukua bodaboda mpk kwenye mto, upande mtumbwi uvuke ng'ambo hapo sasa kuna baiskeli za kukodi mpk kwa mtendaji ushuke sababu kuna mteremko ivo huwezi tumia usafiri tembea kwa mguu km nusu saa tu utanikuta hapa nakusubiri mkuu,

Asante kanyunyu nami natamani nikuonepo
 
Back
Top Bottom