Ahsante sana mkuu.Mie emmyta napenda story zake
Usisahau Kinga mamie..Bado nakupendaBasi nendeni wenyewe mie siji, nami naenda kwa mchepuko.
Kinga si unajua siwezagi kutumia mpenzi!! Namuamini mchepuko.Usisahau Kinga mamie..Bado nakupenda
Napaona Local sana sema basi tu .Pamechangamka sana pale
Napaonaga pako local sana mimiPamechangamka sana pale
aisee, ila kipindi hicho watu wasiojulikana hawakuepo mkuumiaka ya 2010 mpaka 2014 wanajf tulikuwa tunakutana sana...tulichangiana michango ya harusi na tulihudhuria kwa wingi .... tulifanya tour sehem kama ngorongoro,iringa, tanga dsm nk kote huko tulikutana na kupiga story na kubadilishana mawazo..by then jf was jf.....
sitahau nilipokutana na regia mtema..kisha kesho yake akaaga dunia..
Tutagawana nusu nusuTukienda wote ntakupunja labda mi niwe refa
Pa 1 sana mzee baba Marufuku kukata tamaa
HahahaTwende ote tukaliwe na baby wetu..ila nitakutafuta unipe hizo mbinu asee
Siku ukitaka kwenda ukuje nikupe mbinu shareholder
Baby nitakulamba tu bhasi[emoji23] [emoji23]Baby mimi na wewe kuonana ni a must!
Ila usije kunitafuna naogopaπ
Kesho MPE draw man unitedmshana jr anifundishe kupaa hahahah Pdidy huyu mpwa wa wengi anifundishe kubet vizur maana aliniispire sana sana kubet kiasi kwamba siku hizi nakula mzigo kimyakimya hivi vyuma vimekaza ubarikiwe sana Pdidy ONTARIO huyu mdogo angu kwa umri ila amenipa changamoto sana ya kufanya ujasiriamali namuelewa mno natamani nikutane naye kuna mengi nataka nijifunze zaidi. Jambazi fakalava mgiriki hawa maswaiba wa jukwaa pendwa nawapendaje hahahah Malcom Lumumba niaje bro mtema madini. kipumbwi Valentina Nifah nawapenda bure
double chance nadhani itahusika!!! leo nimempa BENFICA,PSGKesho MPE draw man united