Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

09d1a8e9801f1b2cfa36fd4805c95f71.jpg
 
miaka ya 2010 mpaka 2014 wanajf tulikuwa tunakutana sana...tulichangiana michango ya harusi na tulihudhuria kwa wingi .... tulifanya tour sehem kama ngorongoro,iringa, tanga dsm nk kote huko tulikutana na kupiga story na kubadilishana mawazo..by then jf was jf.....
sitahau nilipokutana na regia mtema..kisha kesho yake akaaga dunia..
aisee, ila kipindi hicho watu wasiojulikana hawakuepo mkuu
 
Alafu usikute wengine tunakaa Jirani ila tuu ndio mambo ya kuficha ID maana jf watu wanatumia kama Bangi vile Hahahahaaaa
 
mshana jr anifundishe kupaa hahahah Pdidy huyu mpwa wa wengi anifundishe kubet vizur maana aliniispire sana sana kubet kiasi kwamba siku hizi nakula mzigo kimyakimya hivi vyuma vimekaza ubarikiwe sana Pdidy ONTARIO huyu mdogo angu kwa umri ila amenipa changamoto sana ya kufanya ujasiriamali namuelewa mno natamani nikutane naye kuna mengi nataka nijifunze zaidi. Jambazi fakalava mgiriki hawa maswaiba wa jukwaa pendwa nawapendaje hahahah Malcom Lumumba niaje bro mtema madini. kipumbwi Valentina Nifah nawapenda bure
 
Kesho MPE draw man united
 
Back
Top Bottom