Sporting cp umemuogopa?double chance nadhani itahusika!!! leo nimempa BENFICA,PSG
Ampe ushindi Manchester UnitedKesho MPE draw man united
Akishinda nakupa pesa mkuuAmpe ushindi Manchester United
Mkuu andaa hiyo pesa. Na mimi akishindwa pesa itakuhusuAkishinda nakupa pesa mkuu
Kiasi gani mkuu niite mashahidi?Mkuu andaa hiyo pesa. Na mimi akishindwa pesa itakuhusu
Mkuu wewe utatoa kiasi gani Manchester United wakishinda? Tuanzie hapoKiasi gani mkuu niite mashahidi?
Nakupa 30 mkuuMkuu wewe utatoa kiasi gani Manchester United wakishinda? Tuanzie hapo
Sawa mkuu.Nakupa 30 mkuu
Na we we si iyo iyo?Sawa mkuu.
Naam, hiyo hiyoNa we we si iyo iyo?
Amna kuleta uhuni wa kukataa maana Mimi mchawi sanaNaam, hiyo hiyo
Hahaha kama wewe mchawi sana nmeogopa mkuu. Unaweza rekebisha mambo yako hata kama Manchester United wakishindaAmna kuleta uhuni wa kukataa maana Mimi mchawi sana
Uoga mbaya sanaHahaha kama wewe mchawi sana nmeogopa mkuu. Unaweza rekebisha mambo yako hata kama Manchester United wakishinda
Mkuu waweza hamisha magogoni yangu ukaihamishia TangaUoga mbaya sana
Weee staki kuweka roho yangu juu juu...Sporting cp umemuogopa?
Weee staki kuweka roho yangu juu juu...Sporting cp umemuogopa?
Naombeni mnipe hiyo pesa niwaekee atakayeshinda nampatia maana mnaweza kudhulumiana hahahMkuu andaa hiyo pesa. Na mimi akishindwa pesa itakuhusu
Uyo jamaa kashaogopaWeee staki kuweka roho yangu juu juu...
Naombeni mnipe hiyo pesa niwaekee atakayeshinda nampatia maana mnaweza kudhulumiana hahah
Hahaha charty wewe kama sio Mchagga (heshima kwa Wachagga wote) basi wewe Mpare (nawaheshimu pia). Kweli wewe uwe shahidi nitadhulumiwaWeee staki kuweka roho yangu juu juu...
Naombeni mnipe hiyo pesa niwaekee atakayeshinda nampatia maana mnaweza kudhulumiana hahah