Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Weee staki kuweka roho yangu juu juu...

Naombeni mnipe hiyo pesa niwaekee atakayeshinda nampatia maana mnaweza kudhulumiana hahah
Hahaha charty wewe kama sio Mchagga (heshima kwa Wachagga wote) basi wewe Mpare (nawaheshimu pia). Kweli wewe uwe shahidi nitadhulumiwa
 
Back
Top Bottom