Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

hao mnaowataja wengi wao wamejazana grups za whatsapp huko
 
Kwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.

Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
natak jikutne na wewe
 
Back
Top Bottom