Asante mkuu tuombe uzimaSky na Shunie
vp mpaka leo bado hujaonana nae tuMimi natamani saana nikutane na huyu kaka anajiita Nokia83,nanyi tiririkine tuone..
yani apo mkuu ukiniuliza sababu ya kutaka kumuona nakosa ndo mana nasema sjui ila Time will tellHujui nini mkuu jamaan
Nenda Tandale Midizini utampata
Kwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.
Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Fanya....loahao mnaowataja wengi wao wamejazana grups za whatsapp huko
Ahahahhhh kwahiyo ukimuona utapata cha kumwambiayani apo mkuu ukiniuliza sababu ya kutaka kumuona nakosa ndo mana nasema sjui ila Time will tell
natak jikutne na weweKwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.
Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]natak jikutne na wewe