Yaan Mwifwa shunie wako uliyemuumba na shunie mimi watu wawili tofauti yaan hawafanani [emoji23][emoji23][emoji23]Shunie wangu wa keyboard najijua namuelewa mwenyewe
Asante muosha naniliu tunakukubali sana unajua we ni zaidi ya mtani kwetu tukianza kukutania kama babu yetu Mungu azidi kukutunza [emoji7][emoji7]Aisee Mimi naweza weka makundi matatu
1.ninao wakubali kihisi Kali sio za nchi hii natamani hadi kuwatafuna wabichi ni
Kapeace
Joanah
Demiss
2.marafiki Wa kina
Sergio
Jose
Beira
Mwifwa
Behaviorist
3.ninao appreciate michango yao
Mshana Jr
BAK
Kikulachochako
The Bold
Pasco
Sakayo
Wengine miss natafuta mbitiyaza shunie emmyta carba youngblood linamo
Wapo wengi sana.....
Hapo kwenye "kukupanda" hapo daaah! Sijui ni mm na mawazo yng tu , au ndio ulikuwa una maanisha hvyo hvyo! Kapeace mweeh... mweeh...Unatamani kunipanda hahahahahaha Leo ntakujia ndotoni usisinzie sasa
Kwani yeye kasemaje???mi sijuagi kuzunguruka nizoee tu mkuuHapo kwenye "kukupanda" hapo daaah! Sijui ni mm na mawazo yng tu , au ndio ulikuwa una maanisha hvyo hvyo! Kapeace mweeh... mweeh...
Haaahaahaaaa, hivi kumbe kutafuna ndio kupanda eeh! sawaaa sawaaKwani yeye kasemaje???mi sijuagi kuzunguruka nizoee tu mkuu
Haya poaHaaahaahaaaa, hivi kumbe kutafuna ndio kupanda eeh! sawaaa sawaa
Najua hujui kuwa tukifika kwenye kijiwe cha mapupu lazima wafanane[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaan Mwifwa shunie wako uliyemuumba na shunie mimi watu wawili tofauti yaan hawafanani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Ndio kama yule.Bibi flank ivi alishinda shindano La bibi bomba
Ahsante kwa kutuwakilisha kwa shukraniAsante muosha naniliu tunakukubali sana unajua we ni zaidi ya mtani kwetu tukianza kukutania kama babu yetu Mungu azidi kukutunza [emoji7][emoji7]
Lakin hujamfikia bado yule kikongwe sanaHahahaaa. Ndio kama yule.
Hahahaaa. Namkaribia.Lakin hujamfikia bado yule kikongwe sana
Hamna hapo unanidanganyaHahahaaa. Namkaribia.
HahahaaaaaHamna hapo unanidanganya
Fact mabibi hawachekagi ivyo [emoji23]Hahahaaaaa
Hapana aiseee me sipo hivyo ujue basi sababu nayapenda mapupu ujueNajua hujui kuwa tukifika kwenye kijiwe cha mapupu lazima wafanane[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ahahahhh yaan wewe sijakosea eenhAhsante kwa kutuwakilisha kwa shukrani
Tuombe uzima tu[emoji144]♂️[emoji144]♂️ Youngblood tutaonana jaman natamani na mimi