Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Aisee Mimi naweza weka makundi matatu
1.ninao wakubali kihisi Kali sio za nchi hii natamani hadi kuwatafuna wabichi ni
Kapeace
Joanah
Demiss

2.marafiki Wa kina
Sergio
Jose
Beira
Mwifwa
Behaviorist

3.ninao appreciate michango yao
Mshana Jr
BAK
Kikulachochako
The Bold
Pasco
Sakayo

Wengine miss natafuta mbitiyaza shunie emmyta carba youngblood linamo
Wapo wengi sana.....
Asante muosha naniliu tunakukubali sana unajua we ni zaidi ya mtani kwetu tukianza kukutania kama babu yetu Mungu azidi kukutunza [emoji7][emoji7]
 
Yaan Mwifwa shunie wako uliyemuumba na shunie mimi watu wawili tofauti yaan hawafanani [emoji23][emoji23][emoji23]
Najua hujui kuwa tukifika kwenye kijiwe cha mapupu lazima wafanane[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Asante muosha naniliu tunakukubali sana unajua we ni zaidi ya mtani kwetu tukianza kukutania kama babu yetu Mungu azidi kukutunza [emoji7][emoji7]
Ahsante kwa kutuwakilisha kwa shukrani
 
Back
Top Bottom