AmeenTuombe uzima tu
[emoji23] [emoji23] Hapana mkuu,si unajua tena ya mungu mengi.Acha kuzubaa wewe! Mbona kama unanyepa
I wish one day hili tukio litimieHapana aiseee me sipo hivyo ujue basi sababu nayapenda mapupu ujue
Ndio maana nimeamua nikupongeze kwa jambo zuri ulilolifanyaAhahahhh yaan wewe sijakosea eenh
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Acha usanii hebu mtaje. Usikute hao wanaojijua wapo zaidi ya sabaTo me she is the best of them all, najua nitonana nae, kama sio leo basi kesho, kama sio mwezi huu hata mwezi ujao, kama so 2017 yaweza kua 2018, anajijua
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mshana Jr.
Teh teh unataka kuniambia umejitongoza mwenyewe? Kamatia fursa sasa kama umegundua hilo mapemaHalafu hii thread imekaa kimtongozo flan hivi...
Bora nashukuruMkuu nakukubali japo leo ndio mara ya kwanza kuiona ID yako
Hahahaa, mwenyewe ameshajua tayari na ameshanambia kiana kua kanipata....Acha usanii hebu mtaje. Usikute hao wanaojijua wapo zaidi ya saba
Aliyekugongea like eeh?Hahahaa, mwenyewe ameshajua tayari na ameshanambia kiana kua kanipata....
wew mchaga nini? kwahyo umeona hii fursa cioNipe hela nikuonyeshe alipo
Mtaje harakaNatamani nikutane na wengi mno Joseverest,DJ,Mwifa,Nahuja,Emmyta,shunie,Linamo,Ukuthy,Bonny,Sky,Kichwa kichafu,Young blood,Carba,Eric Otieno na kuna mmoja special baby mama naomba nisikutaje unajijua
Mkuu we shida yako si umuone?wew mchaga nini? kwahyo umeona hii fursa cio
Khantwe acha umbea basii mpaka unipeperushie, hahahaaAliyekugongea like eeh?
Mim kibibi utanikimbia
Hahaa basi mkuu yaisheKhantwe acha umbea basii mpaka unipeperushie, hahahaa