Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Kunao hawa...1. MissChagga nadhani atakua one funny lady
2. Kuna heaven sent ako na wisdom namna flani
3. Khantwe
4. Ukhuty
5. Heaven on earth, ive been on and off in jf lakini ako na ladha ile ile...LOL!!
6. Deception 🙂
Asee Wapo wengi
Wow mimi huyuhuyu..shukrani mkuu kwa kutambua uwepo wangu
 
Kunao hawa...1. MissChagga nadhani atakua one funny lady
2. Kuna heaven sent ako na wisdom namna flani
3. Khantwe
4. Ukhuty
5. Heaven on earth, ive been on and off in jf lakini ako na ladha ile ile...LOL!!
6. Deception 🙂
Asee Wapo wengi
Deception nimemmiss huyu, yupo kweli?
 
miaka ya 2010 mpaka 2014 wanajf tulikuwa tunakutana sana...tulichangiana michango ya harusi na tulihudhuria kwa wingi .... tulifanya tour sehem kama ngorongoro,iringa, tanga dsm nk kote huko tulikutana na kupiga story na kubadilishana mawazo..by then jf was jf.....
sitahau nilipokutana na regia mtema..kisha kesho yake akaaga dunia..
Kwann tusirutusirudie hii spirit!
 
Back
Top Bottom