Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehe wewe wewee!!Wow mimi huyuhuyu..shukrani mkuu kwa kutambua uwepo wangu
Nipo hapa 24/7 mkuuNatamani nikutane na wengi mno Joseverest,DJ,Mwifa,Nahuja,Emmyta,shunie,Linamo,Ukuthy,Bonny,Sky,Kichwa kichafu,Young blood,Carba,Eric Otieno na kuna mmoja special baby mama naomba nisikutaje unajijua
[emoji115] [emoji120] [emoji106] [emoji123]Father Mshana jr
Hahaa sawa mkuu nilijua labda mkono umetelezaHehe wewe wewee!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa jinsi tunavyoishi humu huwa inatokea tu kutokana na michango yetu na kuzoweana inafikia hatua kila uliyezoweana naye unataka itokee siku muonane ili kupiga story pamoja.
Mie nina wengi sana jamaani. Ipo siku ambao hatujaonana tutaonana na kuchekana kwa sababu wengine sie ni vibibi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Hahahaaaa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nakubali harakati ninjaNipo hapa 24/7 mkuu
Hahahaaa. Mdogo wangu mie ni kibibi au uongo. [emoji85][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Eti vibibi
Bibi tukinao [emoji23]Hahahaaa. Mdogo wangu mie ni kibibi au uongo. [emoji85]
Ahsante sana swahiba.
Mh! Mtu anataka kupigwa hapa[emoji106] nitumie nauli nije
Siku mwenyezi mungu akituwezesha.Ahsante sana swahiba.
Hivi tutaonana lini aisee?