Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Aisee Mimi naweza weka makundi matatu
1.ninao wakubali kihisi Kali sio za nchi hii natamani hadi kuwatafuna wabichi ni
Kapeace
Joanah
Demiss

2.marafiki Wa kina
Sergio
Jose
Beira
Mwifwa
Behaviorist

3.ninao appreciate michango yao
Mshana Jr
BAK
Kikulachochako
The Bold
Pasco
Sakayo

Wengine miss natafuta mbitiyaza shunie emmyta carba youngblood linamo
Wapo wengi sana.....
[emoji120][emoji120]sante
 
asilimia 99 humu ni majini ya baharini, kila mmoja abaki huko huko aliko tusionane, tukutane tu humuhumu. kuchati na jini sio tatizo, tatizo ni kukutana nalo
Kwahiyo wewe ndio jini makata au maimuna!!!
 
asilimia 99 humu ni majini ya baharini, kila mmoja abaki huko huko aliko tusionane, tukutane tu humuhumu. kuchati na jini sio tatizo, tatizo ni kukutana nalo
Kweli umetuchoka mkuu
 
Back
Top Bottom