Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Hahahaaa!! Sura haitoshi kwenye camera, nilicheka ile siku.
Kama ile mansion ya Jana niliyokukuta unacheka ilitosha na mawe yale eti sura kweli isitoshee???
 
Hahahaaaaaa!!! Usinikumbushe ya ile mansion kwakweli. Si unajua mtu akiamua kukuchoka anakuchoka kweli kweli.
 
Back
Top Bottom