Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee nilimpa mtu hela alime tugawane kitakacho patikana...tangu 2017 hadi leo napigwa sound tuu.
Asante mkuu, ngoja tusake hela tena.Hii inshu niliwahi kuitumia ila kwa swala la kupigwa nadhani ndio tunatofautiana namna tulivyo simamia. Unaandaa chakula kambi (hukohuko shambani) kisha wafanyakazi ila kwa wafanya kazi chaguo langu la kwanza ni wale wanaotafuta kazi yoyote halafu wawe na uhusiano wa damu wao kwa wao yaani kama mtu na mdogo wake au na mjomba wake n.k. hapo umewini kwa mtego mdogo sana, TOA UPATE basi.
Wewe target yako ya kwanza ni kuwajari wao halafu ya pili ni shamba lako halafu wao target yao ya kwanza itakuwa shamba lako kwani baada ya mavuno mnagawa mafungu 3 mawili unachukua wewe na moja la kwao mfano mmepata gunia mia moja wewe usiweke tamaa chukua gunia 65 au 60 zingine waachie. Kumbuka wewe uliingiza mbolea, mbegu na chakula chao kwa mapato ya gunia 100 saana tuchukulie ulilima ekari 5.
{Nakupa siri}
mtaani kuna nguvu nyingi sana zinapotea zikusanye hizo nguvu zije zikutumikie wewe utatoka asilimia 99 wanahangaikia japo mlo mmoja tu sasa waandalie uhakika wa mlo,malazi na hata wakiugua wawe na uhakika upo wewe watatibiwa siri kuu ya kupata ni kutoa kwanza. Hujaelewa hapa amini,hujaamini hapa subiri kuona unaachwa nyuma na walioona.
👍Asante mkuu, ngoja tusake hela tena.
Mkuu ninasehemu mbili ya kwanza ipo Tabora 2.5 ekari na Kigoma huwa nalima kwa kuomba kwenye taasisi fulani hivi ila kwa Tabora ndio namiliki. Lakini haya hayakusaidii komaa na mada tu.
Mkuu ninasehemu mbili ya kwanza ipo Tabora 2.5 ekari na Kigoma huwa nalima kwa kuomba kwenye taasisi fulani hivi ila kwa Tabora ndio namiliki.
🙏Kilimo cha mahindi kwa vyovyote vile ni gharama tena kubwa, miye nimelima msimu huu kama ekari 8 gharama niliyoitumia mpaka sasa inafika mil.3 mahindi yako vizuri kwa sehemu kubwa. Nakadiria kupata gunia kama 150 hivi.
Kuhusu mambo aliyoongea mtoa mada karibu yote ni kweli nami nimejifunza baadhi ya mambo ambayo nilikuwa sijui mfano, kuchanganya Dap na can huku niliko nimeona tuliowengi tunachanganya dap na urea.
Kuhusu kuchimba shimo ili kuweka mbolea kwangu ndiyo sahihi ingawa mimi sijachimba mashimo kutokana na ukubwa wa shamba ni kazi nzito na inachelewesha. Lengo la kuchimba kashimo ni kuilinda ile mbolea isitawanyike mbali na shina la mhindi endapo mvua kali itakuja, pia endapo shamba halina tambalale ni vyema ukachimba ili kuilinda hiyo mbolea husipofanya hivyo mahindi yaliyokwenye mteremko yatakuwa dhaifu kuliko yaliyobondeni.
🙏
Heka moja laki 375Kilimo cha mahindi kwa vyovyote vile ni gharama tena kubwa, miye nimelima msimu huu kama ekari 8 gharama niliyoitumia mpaka sasa inafika mil.3 mahindi yako vizuri kwa sehemu kubwa. Nakadiria kupata gunia kama 150 hivi.