murugalama
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 231
- 81
Ili uweze kupata tiba sahihi ni lazima kujua historia (diognosis) ya ugonjwa.Hivyo nakushauri tuwasiliane kwa namba 0776 217417 unaweza kupata utatuzi wa tatizo la mkeo
Asante King'asti kwa ushauri lkn hospitali tumefika na kupatiwa dawa, hata hivyo tatizo lilitulia kwa muda na kurudi tenaNa usisahau kumpeleka hospitali. Hakuna kisicho tibika. Poleni sana.