murugalama
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 231
- 81
Wakuu kwanza naanza kwa salamu. Mke wangu amekuwa na tatizo la mchango mara kwa mara, amejaribu kutumia dawa za wamasai bila mafanikio na hivi karibuni alikuwa na ujauzito ambao umetoka. Wajuzi wa mambo naombeni kujua ni ipi dawa ya mchango ili niweze kumnusuru mke wangu kwa tabu na shida anazozipata, kwa ujumla mimi ni mbumbumbu wa mambo haya.