Mchango Mh Joseph Mbilinyi(Sugu) toka amekuwa Mbunge kwa vijana wanao tegemea sanaa kama ajira

Ruttashobolwa Zitto ni nani yako mpaka unahangaika hivi kumtetea??? au na wewe ni mmoja wa wale wanaozunguka nae??? haya yote uliyoandika ni baada ya SUGU kumlipua ZITTO..
 
Harakati zake za anti virus zimewafanya wasanii wanaojua kuimba wajitambue kuwa wanaweza bila kubebwa na media flani flani na kudhihirisha nguvu ya umma a.k.a mashabiki ndio wenye uamuzi sio media
 
Mbilinyi hakuchaguliwa na wasanii bali na wakazi wa Jimbo lake. Atafanya anayoagizwa na wapiga kura wake tu. Kwani John Komba wako sio msanii? Vicky Kamata?

Hebu muwe mnasoma andiko kabla ya kuchangia...pia changia kama unajua unachochangia na sio kukurupuka ili tu ili kutetea mtu wako.

Sugu ametajwa kwa sababu ya nafasi yake ya Waziri kivuli wa habari Vijana na Michezo.....kama muda haumtoshi kushughulikia jimbo na wizara hiyo kivuli si atoe taarifa kwa viongozi wake ili kazi hiyo apewe mwingine ?

Hata mimi nimewahi kuhoji mara kadhaa nafasi ya Sugu na matarajio ya wasanii, wanamichezo na wanahabari...ila wasanii walikuwa na matarajio makubwa zaidi coz naye ni msanii.

Na kama alivyosema mleta uzi...juhudi ya Sugu imekuwa kwenye kuvuruga zaidi kuliko kujenga...labda sishangai kwa sababu sioni na sidhani kama anao uwezo zaidi ya huo.

Na sidhani kama wasanii wana matatizo ya haki miliki tuu kama wengine mnavyotaja kuwa anapigania hayo....

Wasanii wana matatizo lukuki, kubwa likiwa ni ukosefu wa ushirikiano...tofauti na mawaziri wenye dhamana, Sugu yeye ni kijana na ni msanii, ndiye angetarajiwa kuwa karibu zaidi na wasanii, kukaa nao na kushauriana nini cha kufanya...

Badala yake yeye ndiye amekuwa kinara wa mivunjiko na kulaumu hata wale ambao wameonyesha juhudi za kuwatengenezea wasanii platform kwake ndio wanakuwa maadui namba moja ili awakwamishe...

Na kama kuna mapungufu si angekaa nao na kutafuta wapi parekebishwe ili wasanii wengi wanufaike ?

Au labda mnifafanulie nini maana ya waziri kivuli ?....ni kukosoa tuuu ahusiki na kujenga ?
 
ruta acha kuongea pumba bab....Sugu kajitahidi sana kupambana kuubadili mfumo ila kakosa ushirikiano ye atasaidiaje awa vichwa panzi..ukionekana tu umekaa unapiga story na Sugu ni mtuhumiwa tayari...Eti aanzishe mfuko wa kusaidia wasanii hivi wasanii wanaitaji mfuko wa kuwasaidia kama vilema, yatima au wanaitaji CONSCIOUTIZATION?
 
We jamaa una chuki sana na chadem, lakini kwa taarifa yako chadema itadumu
 
Sugu ni mbunge wa mbeya mjini wala sio mbunge wa wasanii.Mmesahau mawingu mlivyokuwa mnampga madongo kipindi anagombea?hiloooooooooooooo
 
Hebu niambie ukweli uoni sababu ya Sugu kuanzisha mfuko wa wasanii kwa sababu sio vilema? Hivi uoni wanavyo aibika mahuti yanapo wakuta?

Hivi niambie Sugu kwa nafasi yake amefanya nini kutatua migogoro katika tasnia hiii zaidi ya kuchukua upande?
 
Sugu ni mbunge wa mbeya mjini wala sio mbunge wa wasanii.Mmesahau mawingu mlivyokuwa mnampga madongo kipindi anagombea?hiloooooooooooooo
Yani haya ndio majibu? Hao wasanii si wananchi?Mbeya hakuna sanaa na wasanii? Hivi umesoma hotuba yaSugu akiwa kama waziri kimvuli?
 
We jamaa una chuki sana na chadem, lakini kwa taarifa yako chadema itadumu
Mkuu mada inasema mchango wa sugu tangia amekuwa mbunge kwa vijana wanao tegemea sanaa kama ajira?
 
Harakati zake za anti virus zimewafanya wasanii wanaojua kuimba wajitambue kuwa wanaweza bila kubebwa na media flani flani na kudhihirisha nguvu ya umma a.k.a mashabiki ndio wenye uamuzi sio media
Mkuu nasema toka amekuwa mbunge sana na wasanii amkumbuka kwa lipi amehifanyia nini sanaa?
 
Mkuu umesema kila kitu.
 
Hebu niambie ukweli uoni sababu ya Sugu kuanzisha mfuko wa wasanii kwa sababu sio vilema? Hivi uoni wanavyo aibika mahuti yanapo wakuta?

Hivi niambie Sugu kwa nafasi yake amefanya nini kutatua migogoro katika tasnia hiii zaidi ya kuchukua upande?

Unaleta siasa kwenye muziki .....Ukienda street hali halisi haiko hivyo..muziki unafitina zake pia..uwachukui tu wasanii alafu ukawaweka sehemu moja kama unavyochukulia..Ye alichokijaribu kukipigania ni kuubadili mfumo tatizo la wasanii sio pesa ya matibabu au kuzikana tatzo ni mfumo kama vile sheria za hatimiliki atengenezi Sugu na serikali kuibadili hawataki ye afanyaje na wenzake awamuungi mkono watawaudhi jamaa zetu wale so sauti inakuwa ndogo.
 

Wee matumbo linex kadai hakujui so uspende kutafuta umaharufu kupitia watu acha kutumika ovyo
 
Joseph ni mbinafsi aliyepitiliza, baada tu ya kupata ubunge akaanza kudengua. Kutana na Afande Selle ujue yapi yamemkuta, Sugu yupo kimaslahi na hata kelele anazopiga kwenye hotuba zake ni kwaajili ya maslahi yake kuhusu hilo sasa kutana na wasanii waliokuwa wanaunda Antivirus walivyoachwa yatima baada ya yeye kuvutwa pembeni na kulipwa pesa. Kawaaacha Kama hawajui vile.
 
Alichofanya Mbilinyi ni kurekodi nyimbo zenye maudhui ya matusi na kuzisambaza kwa njia ya mtandao akishirikiana na wahuni wenzie.

Wale wenzake Kawaacha kawaacha kwenye mataa. sasa hivi wanawaomba msamaha waliowatukana kwenye antivirus.
 
Sugu ndio mbunge kihiyo kuliko wote kwenye hili bunge...ndio mbunge msela pia kuzidi wenzie.ndiye msambaza matusi kupitia nyimbo, kifupi ni box tu lile pale limewekwa na chadema
 
Mkuu nasema toka amekuwa mbunge sana na wasanii amkumbuka kwa lipi amehifanyia nini sanaa?

Suala la kujiuliza hao unaotaka watetewe wanamkubali na kumuunga mkono sugu??? Kama wasanii wengi waliokamatwa masikio na clouds hawamuungi sugu na harakati zake kama za makundi tumeona kuna kundi linaloongozwa na mwana fa ambalo wao hawawezi kuamua kitu mpk clouds waamue.. na kuna kundi la akina sugu ambalo soon jide na prof jay wamejiunga karibuni na hutembelea pia dodoma kama wageni wa sugu...

Sasa unadhani hapo hata sugu afanye nini hao akina FA watamuunga mkono. Ikiwa kama kuunda umoja wao ili wapewe studio wamemkatalia sugu na kukubali Ruge awaundie umoja wao na ile Studio kajimilikisha kwake na THT. What else do u need from him?? Kataa kubali Sugu ni mwanaharakati kabla na hata baada ya ubunge. Hayo ya bungeni hayataweza kufuta mazuri aliyofanya kwenye huu muziki wa bongo
 
Umenena vyema dada,wasanii wengi wanafiki sana na niliumia kipindi anagombea ubnge jamani clouds walikuwa wanaponda,kashinda kwa juhudi binafsi na wanambeya.Wasanii wachache walimsapoti leo hii ndo mumseme si mmwambie january makamba awasaidie na clouds.
 

Hapo sasa wasanii hao hao hawakumuunga mkono hata kama hawakuwa wana mbeya kile kipindi anagombea leo kashinda ubunge wanamlalamikia huo si uchizi.

Hiyo hoja ya uwaziri kivuli, like seriously wanakaa kumlalamikia waziri kivuli?????? Huyo Fenera Mukangara kafanya nini kwanini wasimlaumu waziri husika ambaye yeye bajeti yake ndio inafanyiwa implementation.

Sugu aseme nini bungeni kuhusu wasanii mtakubali zaidi tu watasema ni mnafiki kwa maslai yake, kama hotuba yake tu ya juzi imeshazua gumzo na watu wameshaanza kumponda. How sure are they kuwa Zitto hana makosa kwani yeye ni Mungu???? Si binadamu tu tena mwanasiasa je kama kweli kafanya huo ufisadi Tanapa na Nssf watakubali unadhan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…