RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ruttashobolwa Zitto ni nani yako mpaka unahangaika hivi kumtetea??? au na wewe ni mmoja wa wale wanaozunguka nae??? haya yote uliyoandika ni baada ya SUGU kumlipua ZITTO..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbilinyi hakuchaguliwa na wasanii bali na wakazi wa Jimbo lake. Atafanya anayoagizwa na wapiga kura wake tu. Kwani John Komba wako sio msanii? Vicky Kamata?
ruta acha kuongea pumba bab....Sugu kajitahidi sana kupambana kuubadili mfumo ila kakosa ushirikiano ye atasaidiaje awa vichwa panzi..ukionekana tu umekaa unapiga story na Sugu ni mtuhumiwa tayari...Eti aanzishe mfuko wa kusaidia wasanii hivi wasanii wanaitaji mfuko wa kuwasaidia kama vilema, yatima au wanaitaji CONSCIOUTIZATION?
Hebu niambie ukweli uoni sababu ya Sugu kuanzisha mfuko wa wasanii kwa sababu sio vilema? Hivi uoni wanavyo aibika mahuti yanapo wakuta?ruta acha kuongea pumba bab....Sugu kajitahidi sana kupambana kuubadili mfumo ila kakosa ushirikiano ye atasaidiaje awa vichwa panzi..ukionekana tu umekaa unapiga story na Sugu ni mtuhumiwa tayari...Eti aanzishe mfuko wa kusaidia wasanii hivi wasanii wanaitaji mfuko wa kuwasaidia kama vilema, yatima au wanaitaji CONSCIOUTIZATION?
Yani haya ndio majibu? Hao wasanii si wananchi?Mbeya hakuna sanaa na wasanii? Hivi umesoma hotuba yaSugu akiwa kama waziri kimvuli?Sugu ni mbunge wa mbeya mjini wala sio mbunge wa wasanii.Mmesahau mawingu mlivyokuwa mnampga madongo kipindi anagombea?hiloooooooooooooo
Mkuu nasema toka amekuwa mbunge sana na wasanii amkumbuka kwa lipi amehifanyia nini sanaa?Harakati zake za anti virus zimewafanya wasanii wanaojua kuimba wajitambue kuwa wanaweza bila kubebwa na media flani flani na kudhihirisha nguvu ya umma a.k.a mashabiki ndio wenye uamuzi sio media
Mkuu umesema kila kitu.Hebu muwe mnasoma andiko kabla ya kuchangia...pia changia kama unajua unachochangia na sio kukurupuka ili tu ili kutetea mtu wako.
Sugu ametajwa kwa sababu ya nafasi yake ya Waziri kivuli wa habari Vijana na Michezo.....kama muda haumtoshi kushughulikia jimbo na wizara hiyo kivuli si atoe taarifa kwa viongozi wake ili kazi hiyo apewe mwingine ?
Hata mimi nimewahi kuhoji mara kadhaa nafasi ya Sugu na matarajio ya wasanii, wanamichezo na wanahabari...ila wasanii walikuwa na matarajio makubwa zaidi coz naye ni msanii.
Na kama alivyosema mleta uzi...juhudi ya Sugu imekuwa kwenye kuvuruga zaidi kuliko kujenga...labda sishangai kwa sababu sioni na sidhani kama anao uwezo zaidi ya huo.
Na sidhani kama wasanii wana matatizo ya haki miliki tuu kama wengine mnavyotaja kuwa anapigania hayo....
Wasanii wana matatizo lukuki, kubwa likiwa ni ukosefu wa ushirikiano...tofauti na mawaziri wenye dhamana, Sugu yeye ni kijana na ni msanii, ndiye angetarajiwa kuwa karibu zaidi na wasanii, kukaa nao na kushauriana nini cha kufanya...
Badala yake yeye ndiye amekuwa kinara wa mivunjiko na kulaumu hata wale ambao wameonyesha juhudi za kuwatengenezea wasanii platform kwake ndio wanakuwa maadui namba moja ili awakwamishe...
Na kama kuna mapungufu si angekaa nao na kutafuta wapi parekebishwe ili wasanii wengi wanufaike ?
Au labda mnifafanulie nini maana ya waziri kivuli ?....ni kukosoa tuuu ahusiki na kujenga ?
Hebu niambie ukweli uoni sababu ya Sugu kuanzisha mfuko wa wasanii kwa sababu sio vilema? Hivi uoni wanavyo aibika mahuti yanapo wakuta?
Hivi niambie Sugu kwa nafasi yake amefanya nini kutatua migogoro katika tasnia hiii zaidi ya kuchukua upande?
ruta acha kuongea pumba bab....Sugu kajitahidi sana kupambana kuubadili mfumo ila kakosa ushirikiano ye atasaidiaje awa vichwa panzi..ukionekana tu umekaa unapiga story na Sugu ni mtuhumiwa tayari...Eti aanzishe mfuko wa kusaidia wasanii hivi wasanii wanaitaji mfuko wa kuwasaidia kama vilema, yatima au wanaitaji CONSCIOUTIZATION?
Wee matumbo linex kadai hakujui so uspende kutafuta umaharufu kupitia watu acha kutumika ovyo
Alichofanya Mbilinyi ni kurekodi nyimbo zenye maudhui ya matusi na kuzisambaza kwa njia ya mtandao akishirikiana na wahuni wenzie.
Mkuu nasema toka amekuwa mbunge sana na wasanii amkumbuka kwa lipi amehifanyia nini sanaa?
Suala la kujiuliza hao unaotaka watetewe wanamkubali na kumuunga mkono sugu??? Kama wasanii wengi waliokamatwa masikio na clouds hawamuungi sugu na harakati zake kama za makundi tumeona kuna kundi linaloongozwa na mwana fa ambalo wao hawawezi kuamua kitu mpk clouds waamue.. na kuna kundi la akina sugu ambalo soon jide na prof jay wamejiunga karibuni na hutembelea pia dodoma kama wageni wa sugu...
Sasa unadhani hapo hata sugu afanye nini hao akina FA watamuunga mkono. Ikiwa kama kuunda umoja wao ili wapewe studio wamemkatalia sugu na kukubali Ruge awaundie umoja wao na ile Studio kajimilikisha kwake na THT. What else do u need from him?? Kataa kubali Sugu ni mwanaharakati kabla na hata baada ya ubunge. Hayo ya bungeni hayataweza kufuta mazuri aliyofanya kwenye huu muziki wa bongo
Umenena vyema dada,wasanii wengi wanafiki sana na niliumia kipindi anagombea ubnge jamani clouds walikuwa wanaponda,kashinda kwa juhudi binafsi na wanambeya.Wasanii wachache walimsapoti leo hii ndo mumseme si mmwambie january makamba awasaidie na clouds.