Mchango wa COKE STUDIO AFRICA

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Habarini wajamvi,
Leo nimeona tuone mchango unaotelewa na Coke Studio Katika Muziki wetu hapa Afrika. Coke Studio Africa imejitahidi sana kuleta na kuwakutanisha wasanii wengi barani Africa na duniani katika misimu tofauti.

Baada ya kuona nyimbo za wasanii wetu Ali Kiba na Rayvanny nikafurahi sana sababu nimezipenda sana. Rayvanny amefanya version ya wimbo wa msanii wa Angola Dji Tafinha uitwao imperfeito na Ali Kiba na msanii kutoka Nigeria Pantoranking uitwao katika ni nyimbo nzuri.

Msimu huu wametuletea Jason Derulo. Msimu uliopita walituletea Neyo. Wamefanya mengi.

Nawapa sifa zao. Sijui msimu ujao utakuwaje. Wasanii wengi wamehusika kama Diamond Platinumz, Yemi Alade, Sauti Sol, 2baba, Nyashinski, Bahati, Cassper Nyovvest, Bebe Cool, Izzo Bizness, Ruby, Vanessa Mdee na wengne wengi...
 
Hivi huwa wanawalipa hawa Wasanii? Na je wao wananufaika na nini kama Coke Studio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…