Mchango wa kuwezesha kesi ya bandari umefikia wapi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Mimi nataka kujua mchango uliombwa kwa wazalendo wote tuchangie kesi ya bandari iliyo funguliwa na wakili msomi mwaa........ lengo la mchango uho ilikuwa ni kusaidia kesi nataka kujua ulifikia wap?

Je walisema kuwa mchango umetosha?

Je walipata kiasi gani?

Matumizi yake?

Je watz au wazalendo hatutakiwi kuchangia tena?

Ilo Bango silion tena twitter
 
Hii Nchi, Mfumo wa Elimu umewaharibu wengi.

Ni wachache tu wenye Akili za kuzaliwa na vipawa kama walivyo Akina Mwakabusi, ndio pekee ambao licha ya Kusoma kupitia Mfumo Huu wa Elimu, bado wamefanikiwa kufanyia kazi Kwa matendo kile walichokisomea.

Kwa namna Nguli wa Sheria ,Mwakabusi,Lissu,Shivji, Nshala, wanavyochambua Huu uharo wa DPW,

Napomua kijana anajifanya mjuaji kuwazidi, namuoma ni bwegeeee bwege Tena lenye bichwa kubwaa
 
Ila bichwa hili kubwa ndilo limekuumiza kichwa kufikiria cha kujibu pamoja na ubwege wangu lakini bado ukajibu itoshe kusema kuwa unakubalina na mimi sana kuhusu ili wazo ila utak kusema mkuu mimi ni bwege lakini natambua nachoongea
 
Mwakabusi katuhimiza, Mpumbavu unamjibu vile anavyokuja, Si wakati wa kumuachia Mola Huu!!
Wewe ni Mjinga
 
Mkuu hivi umelielewa swali nililo uliza hapo juu kuhusu mchango wa DPW ulitakiwa uwe kwenye mstari wa hoja tu umetoka nje ya mada mimi na wewe nani mjinga?
 
Mimi nataka kujua mchango uliombwa kwa wazalendo wote tuchangie kesi ya bandari iliyo funguliwa na wakili msomi mwaa........ lengo la mchango uho ilikuwa ni kusaidia kesi nataka kujua ulifikia wap?

Je walisema kuwa mchango umetosha?

Je walipata kiasi gani?

Matumizi yake?

Je watz au wazalendo hatutakiwi kuchangia tena?

Ilo Bango silion tena twitter
Tafuta kwanza ugali wa watoto
 
Wewe ulichanga? Mbona utake kujua kiasi kilichochangwa na wengine
 
We jamaa utakua sio mzalendo mambo ya kuuliza michango na matumizi ya wazalendo...🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mpwa wewe level Yako ni Mambo ya kidimbwi, na Ile nyingine Sijui inaitwaje, huku kwenye siasa hakuwezi, anyway twende kazi
Kidimbiwo for refreshment huku ni kukomazana ubongo twendeni pole pole
 
We jamaa utakua sio mzalendo mambo ya kuuliza michango na matumizi ya wazalendo...🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi nataka kujua mbona walipo kuja kuomba mchango walitutaarifu why sasa wasitupe taarifa?
 
Back
Top Bottom