Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ila bichwa hili kubwa ndilo limekuumiza kichwa kufikiria cha kujibu pamoja na ubwege wangu lakini bado ukajibu itoshe kusema kuwa unakubalina na mimi sana kuhusu ili wazo ila utak kusema mkuu mimi ni bwege lakini natambua nachoongeaHii Nchi, Mfumo wa Elimu umewaharibu wengi.
Ni wachache tu wenye Akili za kuzaliwa na vipawa kama walivyo Akina Mwakabusi, ndio pekee ambao licha ya Kusoma kupitia Mfumo Huu wa Elimu, bado wamefanikiwa kufanyia kazi Kwa matendo kile walichokisomea.
Kwa namna Nguli wa Sheria ,Mwakabusi,Lissu,Shivji, Nshala, wanavyochambua Huu uharo wa DPW,
Napomua kijana anajifanya mjuaji kuwazidi, namuoma ni bwegeeee bwege Tena lenye bichwa kubwaa
Mwakabusi katuhimiza, Mpumbavu unamjibu vile anavyokuja, Si wakati wa kumuachia Mola Huu!!Ila bichwa hili kubwa ndilo limekuumiza kichwa kufikiria cha kujibu pamoja na ubwege wangu lakini bado ukajibu itoshe kusema kuwa unakubalina na mimi sana kuhusu ili wazo ila utak kusema mkuu mimi ni bwege lakini natambua nachoongea
Mkuu hivi umelielewa swali nililo uliza hapo juu kuhusu mchango wa DPW ulitakiwa uwe kwenye mstari wa hoja tu umetoka nje ya mada mimi na wewe nani mjinga?Mwakabusi katuhimiza, Mpumbavu unamjibu vile anavyokuja, Si wakati wa kumuachia Mola Huu!!
Wewe ni Mjinga
Tafuta kwanza ugali wa watotoMimi nataka kujua mchango uliombwa kwa wazalendo wote tuchangie kesi ya bandari iliyo funguliwa na wakili msomi mwaa........ lengo la mchango uho ilikuwa ni kusaidia kesi nataka kujua ulifikia wap?
Je walisema kuwa mchango umetosha?
Je walipata kiasi gani?
Matumizi yake?
Je watz au wazalendo hatutakiwi kuchangia tena?
Ilo Bango silion tena twitter
Wewe ulichanga? Mbona utake kujua kiasi kilichochangwa na wengineMimi nataka kujua mchango uliombwa kwa wazalendo wote tuchangie kesi ya bandari iliyo funguliwa na wakili msomi mwaa........ lengo la mchango uho ilikuwa ni kusaidia kesi nataka kujua ulifikia wap?
Je walisema kuwa mchango umetosha?
Je walipata kiasi gani?
Matumizi yake?
Je watz au wazalendo hatutakiwi kuchangia tena?
Ilo Bango silion tena twitter
Tafuta kwanza ugali wa watoto
Waulize waliochangiwTunachangia kupitia wapi ?
SikuchngaWewe ulichanga? Mbona utake kujua kiasi kilichochangwa na wengine
Upo wa kutosha san
Basi wachanabUpo wa kutosha san
Basi Wachana na hii kitu, imekuzidi nguvu hii, hii ni ya watu wengine sio ya level YakoUpo wa kutosha san
Siwez kuachana nacho mpaka mwishoBasi Wachana na hii kitu, imekuzidi nguvu hii, hii ni ya watu wengine sio ya level Yako
Mpwa wewe level Yako ni Mambo ya kidimbwi, na Ile nyingine Sijui inaitwaje, huku kwenye siasa hakuwezi, anyway twende kaziSiwez kuachana nacho mpaka mwisho
Kidimbiwo for refreshment huku ni kukomazana ubongo twendeni pole poleMpwa wewe level Yako ni Mambo ya kidimbwi, na Ile nyingine Sijui inaitwaje, huku kwenye siasa hakuwezi, anyway twende kazi
Mimi nataka kujua mbona walipo kuja kuomba mchango walitutaarifu why sasa wasitupe taarifa?We jamaa utakua sio mzalendo mambo ya kuuliza michango na matumizi ya wazalendo...🤣🤣🤣🤣🤣
Wazalendo hawapendi kabisa hayo mambo ya kuhoji hoji...wanataka wewe changia halafu kaa kimyaaMimi nataka kujua mbona walipo kuja kuomba mchango walitutaarifu why sasa wasitupe taarifa?
Hapana uho ni wizi bhna tena wizi mkubwaWazalendo hawapendi kabisa hayo mambo ya kuhoji hoji...wanataka wewe changia halafu kaa kimyaa