Mchango wa mawazo kutengeneza samani (furniture) za kusuka

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
Habari za leo wanajamvi
Nimehitimu mafunzo ya kutengeneza samani (furniture) kwa kutumia vinyweleo asilia (rattan,fiber,cane)

Niliunda kikundi ambacho tulienda kupata mafunzo, baada ya mafunzo mwaka jana mpaka sasa Naifanya kazi hii mwenyewe baada ya nilioanza kushirikiana nao kukata tama na kwenda kwenye mambo mengine

Sasa nahitaji kufanya kazi hii kuwa kazi yangu kuu na rasmi
Bado nahitaji kujua mengi na ikiwa unafahamu wanaoifanya nitafurahi kuwatembelea na kujifunza mambo kutoka kwao

Nathamini ushauri, mchango na mawazo yenu
Asanteni sana

Hapa kuna picha ya baadhi ya kazi ambazo nimezifanaya
 

Attachments

  • IMG-20180914-WA0035.jpg
    60.8 KB · Views: 19
  • IMG-20180929-WA0009.jpg
    74.9 KB · Views: 16
  • IMG-20180819-WA0004.jpg
    75.2 KB · Views: 20
Huwa nauza 50,000/= hilo kwa sasa limeshauzwa
 
Mkuu mimi ushauri wangu, tengeneza vikapu vingi upige hela wakati wake ndio huu.
 
MKUU NIMEJIFUNZA SIDO DSM mwaka jana ni kozi ya mwezi mmoja na gharama yake ilikuwa sh laki moja ili upate ni muhimu muwe at least watatu na kama unataka kumpeleka mtu wahi kabla ya mwezi wa kumi ,, yule mzee wa kitengo ana staafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…