MAMESHO
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,432
- 1,738
Habari za leo wanajamvi
Nimehitimu mafunzo ya kutengeneza samani (furniture) kwa kutumia vinyweleo asilia (rattan,fiber,cane)
Niliunda kikundi ambacho tulienda kupata mafunzo, baada ya mafunzo mwaka jana mpaka sasa Naifanya kazi hii mwenyewe baada ya nilioanza kushirikiana nao kukata tama na kwenda kwenye mambo mengine
Sasa nahitaji kufanya kazi hii kuwa kazi yangu kuu na rasmi
Bado nahitaji kujua mengi na ikiwa unafahamu wanaoifanya nitafurahi kuwatembelea na kujifunza mambo kutoka kwao
Nathamini ushauri, mchango na mawazo yenu
Asanteni sana
Hapa kuna picha ya baadhi ya kazi ambazo nimezifanaya