Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, kwa iyo hauna fani yoyote zaidi ya form 6 na mdogo wako form 4. Unaweza ukanunua nyumba 2 zisizozidi milion 50 had 60 kila moja kisha mkawa mnapata kodi ambayo ni laki 3 had 4 kwa mwez kwa kila nyumba, na au ukanunua bajaji 2 au bajaji moja na suzuki carry moja na kila siku ukawa unaletewa elf 30 had elf 40 kwa siku. Pia unaweza ukanunua hisa salama ambazo zina interest ya 10-12% kwa mwaka ukilinganisha na fixed deposit ambayo unapata 3-6% kwa mwaka. Au pia unaweza ukaja mkoani kama huku kilombero kisha ukanunua matrekta mawili mapya na ukaanza kuwalimishia wakulima mashamba yao na kila heka ni elf 45 had elf 50. Kiufupi ni kuwa tumia nusu ya hiyo hela kuinvest na nusu (mil 125) uiweke akiba lakini kwa kuiweka fixed deposit au kununua hisa kutoka kwenye kampun imara kama nmb,twiga cement, tcc, tbl, N.k waweza ni pm ukitaka tuongee vzur kwan mimi ni bussiness consultant na pia ni mtaalam wa mambo ya biashara.
Na nyumba wapi utapata kwa 50 to 60m kwa sasa ndungu na upangishe kwa laki tatu mpaka nne mkuu Kayimukaa
uzuri wa kununua nyumba na kuipangisha ni kuwa una uhakika wa faida ya mtaj uliowekeza(risk free/very low risk), pia thaman na bei ya hizo nyumba hukua kadir ya miaka inavyoenda na mwisho unakua na uhakika wa mapato ya kila mwez mfano laki 3 au zaid ambazo kwa maisha ya kawaida si haba. Ukiongezea na kibajaji au suzuki carry 1 au 2 (elf 15 had 20 kwa siku@) na zinazobaki fixed deposit au hisa, ushauaga umaskini.
Mchango ni huu; milion 50 nunueni nyumba hapo dar, mil 50 nyingne weka bank fixed au nunua hisa, hii iliyobaki chagua mkoa tengeneza mtandao wa biashara kati ya dar na mkoa huo kwa mil 50, mil 50 ingne huko mkoa nunua shamba hata heka 100, mil 50 iliyobaki nunua Trekta weka huko shamba kwa kazi zako na wakulima wengne. Gawaneni majukumu baina yako na mdogo wako.