Mchango wa mganga umeshakamilika

Mchango wa mganga umeshakamilika

Niliamini yanga wameshindikana kwenye uchawi afrika mashariki kipindi kile simba iko vizuri kocha mwinyi zahera simba ilikosa clear chance 17 na beno kakolanya akawa man of the match ndo chanzo cha kusajiliwa simba huku kocha akiwa uchebe hapo ndo nikasema yanga ni next level kwenye uchawi.
Kuna watu wanadhani utani ,mech kibao TU Simba Wapo vzr ,lkn kwa Yanga matokeo hapati
 
Simba wa yuda anasemaje maana ndie mganga wa simba
 
Match za Simba na Yanga huwa zina pattern maalumu na kwa mtu alie makini kufatilia hizo pattern ni rahisi sana kutabiri.

Hakuna namna yoyote Yanga anaweza kukiepuka hiki kikombe (kipigo) cha kesho.

Screenshot kesho uje uniumbue
Tatzo huwa mnazima data
 
Kwahiyo kule South Africa mganga gani akiwaelekeza vile?
 
Back
Top Bottom