DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
Mwanangu anasoma shule ya msingi AIRWING-BANANA-UK.Leo karudishwa nyumbani eti akafate pesa ya mtihani wa MOKO ambayo ni tshs 15,000.
Ndugu zangu si serikali inasema elimu ya msingi ni kwa watanzania wote na ni bure?sasa hili la mchango na kupigwa bakora limekaaje?Nadhani kesho naenda kukomesha hii tabia,becouse binti yangu kaambiwa kama kesho ataenda bila pesa basi ataoga fimbo!!!!
If you think education is expensive,try ignorance
Maajabu duniani yanazidi kuongezeka, mpaka mtu anauwezo wa kuandika uzi humu Jf lakini hajui maana, umuhimu, na gharama za Mock si maajabu haya!!!!!!!!! Huyu amelewa pombe zikiisha atatuomba radhi kwa usumbufu !
hujawazoea na uongo wao tu? mara ngapi wametangaza kuwa wazee watatibiwa bure? je, implimentation ikoje?Mi naona tatizo si kulipa hizo buku 15 bali ni huu usanii wa hawa wahuni wanaojiita Nambari wani wanaoimba kila kukicha eti elimu inatolewa "Bure kabisa"!
Hivi kwa nini watanzania tumegeuzwa misukule ya majambazi hawa?
Sent from my iPhone using JamiiForums