DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
Mwanangu anasoma shule ya msingi AIRWING-BANANA-UK.Leo karudishwa nyumbani eti akafate pesa ya mtihani wa MOKO ambayo ni tshs 15,000.
Ndugu zangu si serikali inasema elimu ya msingi ni kwa watanzania wote na ni bure?sasa hili la mchango na kupigwa bakora limekaaje?Nadhani kesho naenda kukomesha hii tabia,becouse binti yangu kaambiwa kama kesho ataenda bila pesa basi ataoga fimbo!!!!