Mchango wa Yeriko ndani ya chadema ni upi?

Ninataka kujua mchango wa Chawa Yeriko Nyerere chadema

Zaidi ya kukitumia chama kuuza vitabu fake ana mchango gani kwa chama?
Wewe Misomisondo umepigaje hapo mbona kama umepiga kwenye mshono kabisa?
 
Attachments

  • IMG-20241214-WA0050.jpg
    IMG-20241214-WA0050.jpg
    9.9 KB · Views: 2
Ninataka kujua mchango wa Chawa Yeriko Nyerere chadema

Zaidi ya kukitumia chama kuuza vitabu fake ana mchango gani kwa chama?
Anawauzia Bamia pale Mbutu .

IPO hivi huyo jamaa ana Kampuni yake ya umeme huwa anaitumia kupata tenda Kwa influence ya Mbowe .

Hii imempelekea kujenga ghorofa Mbutu .

Kiufupi huyu jamaa sitomuanika Ila ni wale vijana ambao wananufaika na connection za Mbowe za kukamata tenda mbali mbali.

Hivyo anaishi Kwa kutumia kivuli cha Mbowe sio yeye tu hata akina Malisa G.J na BONI YAI.

Kuuza Bamia na vitabu vya kutafsiri haviwezi kumpa uhakika wa kumiliki Assets.
 
Ndoyo maana wanapiga mayowe kama nguruwe aliyepigwa shoka kichwani,kudadadadeq hawa ni vibaka tu.
 
Ndo vijana hao ukisikia wanamuita Mwamba hizo ndo mbinu zao.

Kuna wale wapiga kura wa mikoani huwa wanawapa sehemu ya kulala nzuri chakula safi , nauli kwenda na kurudi then wanawaambia kura Kwa Mwamba .

So Tundu lissu zile hela za kununua gai hajanunua gari Ila karekebisha Gari lake na zilizobaki anatumia kuwafikia wajumbe .

So ngoma inaenda kuwa ngumu Sana Tundu lissu wajumbe ameshawapa maisha na anazidi kuwapa .

Ukiachana na hilo Watu makini wote wapo upande wa Lissu

So machaguo ni mawili wakiue chama tukose wote au wampe lissu
 
Anawauzia Bamia pale Mbutu .

IPO hivi huyo jamaa ana Kampuni yake ya umeme huwa anaitumia kupata tenda Kwa influence ya Mbowe .

Hii imempelekea kujenga ghorofa Mbutu .

Kiufupi huyu jamaa sitomuanika Ila ni wale vijana ambao wananufaika na connection za Mbowe za kukamata tenda mbali mbali.

Hivyo anaishi Kwa kutumia kivuli cha Mbowe sio yeye tu hata akina Malisa G.J na BONI YAI.

Kuuza Bamia na vitabu vya kutafsiri haviwezi kumpa uhakika wa kumiliki Assets.
Na hapa ndipo utakapouamini ule msomo usemao mkono tupu haulambwi.
 
Anawauzia Bamia pale Mbutu .

IPO hivi huyo jamaa ana Kampuni yake ya umeme huwa anaitumia kupata tenda Kwa influence ya Mbowe .

Hii imempelekea kujenga ghorofa Mbutu .

Kiufupi huyu jamaa sitomuanika Ila ni wale vijana ambao wananufaika na connection za Mbowe za kukamata tenda mbali mbali.

Hivyo anaishi Kwa kutumia kivuli cha Mbowe sio yeye tu hata akina Malisa G.J na BONI YAI.

Kuuza Bamia na vitabu vya kutafsiri haviwezi kumpa uhakika wa kumiliki Assets.
Hili linaweza kuwa na ukweli,kuna mtu pia alinidokeza tukiwa tunapiga story za hapa na pale
 
Back
Top Bottom