Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
</p>Jamani mi najishangaa sijui nimerogwa yaani nikishamfunua tu msichana mara moja hata kama ni mrembo vipi sitamani hata kurudia tena hadi nipate mwingine nakuwa namuona kero nnachojali ni mahitaji yake yakimatumizi tu. Nashindwa kujielewa kabisa kuwa ninatatizo gani?
</p>Jamani mi najishangaa sijui nimerogwa yaani nikishamfunua tu msichana mara moja hata kama ni mrembo vipi sitamani hata kurudia tena hadi nipate mwingine nakuwa namuona kero nnachojali ni mahitaji yake yakimatumizi tu. Nashindwa kujielewa kabisa kuwa ninatatizo gani?
Jamani mi najishangaa sijui nimerogwa yaani nikishamfunua tu msichana mara moja hata kama ni mrembo vipi sitamani hata kurudia tena hadi nipate mwingine nakuwa namuona kero nnachojali ni mahitaji yake yakimatumizi tu. Nashindwa kujielewa kabisa kuwa ninatatizo gani?
Dena amsi ga mila? Ki dita hot? Bare ga mu un hhoslislin? Kaqo ako konda?
Mods peleka hii sredi jukwaa la wakubwa, mi imenizidi umri.
neka kacheki kapasel kako kule kny jukwaa la maandamano maana sasa simwelewi tena kabisa:help:
Pole sana! Mkabidhi Mungu shida yako, itakwisha.
hehehe hako kaugonjwa nazani unakutana na wale sura za ngamia! jarib kubadilisha vitaa. kuna sura ukigongana nazo tu libido yote inaenda holidei. (unaombwa usibishe: nina PHD ya somo la hormones)nimekaelezea hapo juu dr kloro,nasubiria mmwage madozi yenu tufaidike wagonjwa:help:
pole kaka,,,njoo kanisani upate maombi
hehehe hako kaugonjwa nazani unakutana na wale sura za ngamia! jarib kubadilisha vitaa. kuna sura ukigongana nazo tu libido yote inaenda holidei. (unaombwa usibishe: nina PHD ya somo la hormones)
Nadhani angekuwa karibu yako ungemchapa hata vibao maana naona umemsaidia kwa ghadhabu!!mi nadhani hana hatia kwani kufunua na kule then uone chakula si kitamu/kizuri kuna kosa gani?ipo siku atapata msosi wa maana na atatulia.Wewe ni malaya tena una tamaa mbaya sana nenda kanisani/msikitini ukaombewe
Mkuu nadhan wewe kinachotokea hapa ni kuwa unakosa hamu ya kuendelea kuwa nae kwa sababu unawatamani tuu na huna upendo wa kweli kwa hao akinadada unajifurahisha nao...yaan unakuwa na interest ya kuwatumia tuu yaan kuwaonja na kuacha....itakuwa ngumu kwako baadae kupata mke au kuwa na very serious relationship...jichunguze mkuu na pia uwe unaridhika na mmoja ili ujenge long term mahusiano