Jamani mi najishangaa sijui nimerogwa yaani nikishamfunua tu msichana mara moja hata kama ni mrembo vipi sitamani hata kurudia tena hadi nipate mwingine nakuwa namuona kero nnachojali ni mahitaji yake yakimatumizi tu. Nashindwa kujielewa kabisa kuwa ninatatizo gani?
Wewe ni malaya tena una tamaa mbaya sana nenda kanisani/msikitini ukaombewe
yaani hapo ndio basi kabisa. Mnavyonitisha badala yakunipa solution sipati picha.
Wewe ni malaya tena una tamaa mbaya sana nenda kanisani/msikitini ukaombewe
Mimi si muasherati tena ni mtulivu kuliko maelezo na ukiniona lazima utaapretiate. Tatizo nikimpata nimpendae siku tukijamiiana tu kwisha habari natulia tena hata miezi kadhaa lakini nikimpata mwingine nikasema nijitahidi nisimwache ghafla kama kunakitu kinaazha kichwani nakujaa moyo matokeo fyuuuu!