Mchawi wa Maisha yako yupo kwenye CV yako.

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Siku moja chukua CV yako, Kisha angalia sehemu ya REFEREE wako, Wapigie simu jifanye kama wewe ni Mkurugenzi wa Kampuni unataka kujua kuhusu wewe usikie Maoni yao.

Unaweza kukuta Mchawi wa Maisha yako yupo kwenye CV yako.

Utanishukuru Baadae
 
Usisingizie referees, mwenye kosa ni mwenye CV kuandika referees ambao hana mahusiano mazuri nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…