ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine
Walishinikiza uongozi kuingia sokoni na kumshawishi arudi na kuwekeza
Cha kushangaza viongozi Matapeli waliendelea kusajili magalasa zaidi ya waliokuwepo
Yaani Kwa kifupi usajili wa Simba hakuna mchezaji aliyeziba pengo la Saido, Onana, Kanoute, Sarr,Fred n.k
Walienda kuwasajili akina na Debora, Okajepha, Mutale, Karaboue, Nouma, Ateba, na Mukwala
Ambao kimsingi hao ni wabovu kuliko waliokuwepo mwaka Jana
Viongozi wa Simba walishindwa kuleta mbadala wa Shabalala ambaye kabisa anaonekana amechoka pia Kapombe
Yanga wao walijiimarisha na kuleta wachezaji wazuri na kushawishi waliokuwepo ambao walitakiwa na timu kubwa kama Pacome, Bacca, Job, Aziz, na Mzize
Viongozi matapeli walivogundua wamekosea wakaamua kuhonga wachambuzi ili kuisema vibaya ufadhili wa GSM
Hoja zao dhaifu
1. GSM anadhamini timu nyingi
GSM sio mmiliki wa Yanga
Yeye ni mfanyabiashara anatumia platform ya mpira kutangaza bidhaa yake
GSM hatangazi bidhaa zake tu kupitia mpira Bali ana mabalozi wengi maarufu kama Milard ayo, Kitenge, Ommy dimpoz n.k Kwe tv na redio bidhaa zake Huwa zinatangazwa, kwaiyo huko kote Huwa anahonga ili Yanga ishinde
2. Yanga anahonga
Kweli Kwa kikosi cha Yanga ni timu ya kumhonga KMC, Coast union au Prison ili kushinda
Simba atakuwaje bingwa ikiwa beki wao tegemeo ni Shabalala na Kapombe hawa wakiletewa akina na Pacome,Max Chama n.k
Simba atakuwaje bingwa ikiwa viungo ni Ngoma na Deborah
Wachezashaji ni Chasambi, Balua na Mpanzu
Simba atakuwaje bingwa ikiwa strikers ni Ateba na Mukwala
Uongozi wa Simba ndo tatizo kubwa, mashabiki lalamikia hilo