Mchawi wa Simba ni Mashabiki na Wachambuzi uchwara

Mchawi wa Simba ni Mashabiki na Wachambuzi uchwara

Wanasema Manula aliuza mechi
Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu
Waangalie highlights za ile match,manula alitupiwa jumba bovu tu,kwanza kama kununuliwa Yanga walijuaje atadaka yy ile game ikiwa alikua injury muda mrefu
 
Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine

Walishinikiza uongozi kuingia sokoni na kumshawishi arudi na kuwekeza

Cha kushangaza viongozi Matapeli waliendelea kusajili magalasa zaidi ya waliokuwepo

Yaani Kwa kifupi usajili wa Simba hakuna mchezaji aliyeziba pengo la Saido, Onana, Kanoute, Sarr,Fred n.k

Walienda kuwasajili akina na Debora, Okajepha, Mutale, Karaboue, Nouma, Ateba, na Mukwala
Ambao kimsingi hao ni wabovu kuliko waliokuwepo mwaka Jana

Viongozi wa Simba walishindwa kuleta mbadala wa Shabalala ambaye kabisa anaonekana amechoka pia Kapombe

Yanga wao walijiimarisha na kuleta wachezaji wazuri na kushawishi waliokuwepo ambao walitakiwa na timu kubwa kama Pacome, Bacca, Job, Aziz, na Mzize

Viongozi matapeli walivogundua wamekosea wakaamua kuhonga wachambuzi ili kuisema vibaya ufadhili wa GSM

Hoja zao dhaifu

1. GSM anadhamini timu nyingi
GSM sio mmiliki wa Yanga
Yeye ni mfanyabiashara anatumia platform ya mpira kutangaza bidhaa yake
GSM hatangazi bidhaa zake tu kupitia mpira Bali ana mabalozi wengi maarufu kama Milard ayo, Kitenge, Ommy dimpoz n.k Kwe tv na redio bidhaa zake Huwa zinatangazwa, kwaiyo huko kote Huwa anahonga ili Yanga ishinde

2. Yanga anahonga
Kweli Kwa kikosi cha Yanga ni timu ya kumhonga KMC, Coast union au Prison ili kushinda

Simba atakuwaje bingwa ikiwa beki wao tegemeo ni Shabalala na Kapombe hawa wakiletewa akina na Pacome,Max Chama n.k

Simba atakuwaje bingwa ikiwa viungo ni Ngoma na Deborah

Wachezashaji ni Chasambi, Balua na Mpanzu

Simba atakuwaje bingwa ikiwa strikers ni Ateba na Mukwala

Uongozi wa Simba ndo tatizo kubwa, mashabiki lalamikia hilo

Kajambaaa,ushuzi unanuka,tena sanaana,sana kabisaaaaa. Kiutoto utoto hivi
 
Tatizo tunaamini wachezaji wazuri wanapatikana kwa njia ya usajiri wa ready-made players.

Wachezaji wa aina hii ni ghali na sio rahisi kuwapata kirahisi..
Kwasab hata timu zao zinawang'ang'ania

Wachezaji kama Mzize, Baka, Job, feisal etc hawakuwa hivi toka awali, waliivishwa na Yanga kuptia Nabi tena kwa project ambayo haikuzidi miaka 2.

Hivyo Simba haipaswi kuendelea kutapatapa tena.
Wachezaji ilionao ni wazuri sana.
Kumbukeni hii timu ni mpya, ni ya mwezi wa nane 2024.
 
Utopolo wanadai wachezaji wa Simba wabovu wakati huo nao wanawamezea mate
 
Tatizo tunaamini wachezaji wazuri wanapatikana kwa njia ya usajiri wa ready-made players.

Wachezaji wa aina hii ni ghali na sio rahisi kuwapata kirahisi..
Kwasab hata timu zao zinawang'ang'ania

Wachezaji kama Mzize, Baka, Job, feisal etc hawakuwa hivi toka awali, waliivishwa na Yanga kuptia Nabi tena kwa project ambayo haikuzidi miaka 2.

Hivyo Simba haipaswi kuendelea kutapatapa tena.
Wachezaji ilionao ni wazuri sana.
Kumbukeni hii timu ni mpya, ni ya mwezi wa nane 2024.
Mbumbumbu hawawezi kukubali
 
Endeleeni kujenga timu huku mkijificha kwenye kichakancha GSM... Mfupa umekushinda wewe Simba unampa nguchiro KenGold kweli ni akili hizo!??
 
Ni kweli kwamba usajili wa Simba sio bora sana hasa kwa strikers.
Lakini ni kweli pia kwamba yanga anauwezo wa kupanga matokeo hapa ndani hata ya mechi ya Simba.

Ninachoweza kuwashangaa mashabiki wa Simba ni kuamini Simba atashinda derby na yanga wakati gsm ana uwezo wa kununua mechi hiyo kwa tff na kamati ya waamuzi.
Yanga kwa sasa ni kama diamond hata kama hajui ataonekana bora tu.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Akili yako ndogo sana. Unawaza mbo madogo kweli.pole
 
Back
Top Bottom