Mchawi wa Simba ni Mashabiki na Wachambuzi uchwara

Wanasema Manula aliuza mechi
Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu
Waangalie highlights za ile match,manula alitupiwa jumba bovu tu,kwanza kama kununuliwa Yanga walijuaje atadaka yy ile game ikiwa alikua injury muda mrefu
 

Kajambaaa,ushuzi unanuka,tena sanaana,sana kabisaaaaa. Kiutoto utoto hivi
 
Tatizo tunaamini wachezaji wazuri wanapatikana kwa njia ya usajiri wa ready-made players.

Wachezaji wa aina hii ni ghali na sio rahisi kuwapata kirahisi..
Kwasab hata timu zao zinawang'ang'ania

Wachezaji kama Mzize, Baka, Job, feisal etc hawakuwa hivi toka awali, waliivishwa na Yanga kuptia Nabi tena kwa project ambayo haikuzidi miaka 2.

Hivyo Simba haipaswi kuendelea kutapatapa tena.
Wachezaji ilionao ni wazuri sana.
Kumbukeni hii timu ni mpya, ni ya mwezi wa nane 2024.
 
Utopolo wanadai wachezaji wa Simba wabovu wakati huo nao wanawamezea mate
 
Mbumbumbu hawawezi kukubali
 
Endeleeni kujenga timu huku mkijificha kwenye kichakancha GSM... Mfupa umekushinda wewe Simba unampa nguchiro KenGold kweli ni akili hizo!??
 
Akili yako ndogo sana. Unawaza mbo madogo kweli.pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…