GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC.
Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa Kuniamini Mimi GENTAMYCINE ni Mwenzao na kunipa Tenda ya Kutengeneza Jezi zao kwa Fedha nilizoingia nao Mkataba huku wakisahau kuwa Mimi kutoka Moyoni kabisa ni mwama Kawe Rangers FC hivyo nawaumiza zaidi Ukwamani FC kwa Kuchukua Jezi zao na kuzipeleka kwa Waganga Hatari wa Kawe Rangers FC ambao wamezisomea Jezi zao ( Ukwamani FC ) dua Kali ya 'Kunuti' na kuwawekea Gundu na kama haitoshi hata Soksi za Wachezaji wao ( Ukwamani FC ) nazo zimesomewa Dua Kali ya Kufunga Miguu Wachezaji wao na pia tumeshachukua sana Nyasi na Udongo kutoka katika Uwanja Wao wa Mazoezi pale Tanganyika Packers Kawe Jirani kabisa na Hospitali ya Masista ( Kanisa Katoliki ) Kawe.
Na bado mpaka tuseme.....!!