Mchawi wako akifanikiwa tu Kukuroga kupitia Jezi zako kupitia Mwenzao Uliyenae utalia tu kila Siku

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC.

Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa Kuniamini Mimi GENTAMYCINE ni Mwenzao na kunipa Tenda ya Kutengeneza Jezi zao kwa Fedha nilizoingia nao Mkataba huku wakisahau kuwa Mimi kutoka Moyoni kabisa ni mwama Kawe Rangers FC hivyo nawaumiza zaidi Ukwamani FC kwa Kuchukua Jezi zao na kuzipeleka kwa Waganga Hatari wa Kawe Rangers FC ambao wamezisomea Jezi zao ( Ukwamani FC ) dua Kali ya 'Kunuti' na kuwawekea Gundu na kama haitoshi hata Soksi za Wachezaji wao ( Ukwamani FC ) nazo zimesomewa Dua Kali ya Kufunga Miguu Wachezaji wao na pia tumeshachukua sana Nyasi na Udongo kutoka katika Uwanja Wao wa Mazoezi pale Tanganyika Packers Kawe Jirani kabisa na Hospitali ya Masista ( Kanisa Katoliki ) Kawe.

Na bado mpaka tuseme.....!!
 
Wewe jamaa unakera hakika mbona unaishi kama mganga wa kienyeji hivi na wewe jumapili, Jumamosi au ijumaa upo nyumba za Ibada unaomba wakati 24/7 ni habari za ushirikina tu, matusi, chuki, mtima nyongo, wivu,,,nk unatumia kigezo cha michezo ila kiuhalisia hayo ndio maisha yako ya kila siku una tabia za kishirikina mnoo.

Hivi ni Mungu gani tunayemwomba sisi anayesikiliza dua chafu za kufunga wenzenu miguu hizo ni dua za kishetani/majini/mizimu Mungu wetu hasikilizi dua chafu hata siku moja mbaya zaidi mtoa dua mbaya ndio atakwenda kuaibika.

Kama wewe ndio unawakilisha jamii ya wasomi wa kitanzania hakika nchi kama nchi bado tuna kazi, unajitapa umesoma chuo cha dini SAUT hakika unakiabisha kile chuo na ule msalaba wanhefahamu usiku kucha unapost habari za ushirikina na Chuki wangechukua gamba lao.

Unachukua habari za vijiweni msomi mzima hata huzifanyii tafiti then unazileta humu una kazi.
 
๐Ÿ”Š๐Ÿ”Š๐Ÿ”ŠWe Selemani we sele sele๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
We selemani we sele sele๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ

We.selemani we sele sele๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต

Selemani we๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
 
Popoma kama popoma.
Hakika bado mmevurugwa

TABULELEE
Tafadhali hapa naziongelea Timu zangu Pinzani za Kawe za Ukwamani FC na Kawe Rangers FC sasa Wewe jifanye Kiherehere sana kutaja Timu nyinginezo uone nitakavyokunyoosha na kukushukia kama Mwewe.
 

Pumbavu Wahed Wewe yaani huu Uzi ulianza Kuuandika hivi Mwenyewe kutokana na Njaa zako na Umasikini wako huko Kijijni Kwenu ulikozaliwa halafu baada ya Kuona Majigambo yako ya Uongo na Kweli hapa Jamiiforums Watu wamekushtukia kuwa hauko hivyo haraka sana kwa Aibu Kubwa ukaja Kuurekebisha ( Edit ) kwa Kutuzuga kwa Kujifanya eti Maudhui ya ule Uzi hayakuwa yako bali ulikuwa Unamuandikia tu Mtu kumuombea Ajira / Kazi.

Naomba nikuajiri uwe Unasafisha Kinyesi cha Nguruwe wangu ninaowafuga Tua Ngoma au uwe Unawaogesha Mbwa Wangu na uwe Unasafisha na Banda lao pia sawa?

Umeyakanyaga.....!!!
 
Tafadhali hapa naziongelea Timu zangu Pinzani za Kawe za Ukwamani FC na Kawe Rangers FC sasa Wewe jifanye Kiherehere sana kutaja Timu nyinginezo uone nitakavyokunyoosha na kukushukia kama Mwewe.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃTabulele popoma fc
 

Njoo nipo Offisini Haile Selassie Road
Ghorofa ya 11 rd Floor.

Golden Tulip.
 
FB_IMG_16992583151771630.jpg๐Ÿ”Š๐Ÿ”Š๐Ÿ”ŠWe Selemani we sele sele๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
We selemani we sele sele๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ

We.selemani we sele sele๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต

Selemani we๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽต๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
 
Huyu mzee anamatusi mazito
 
Mungu akurehemu. Bado hujasema, hadi useme. Utataja kila sababu lakini haziyafuta kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ