Wachezaji wa timu ya taifa wanatoka kwenye vilabu za ligi kuu. Je, ligi yetu inayo hadhi ya kutoa wachezaji Bora wa timu ya taifa itakayoifunga Algeria na Senegal kwenye mashindano?
Ligi yetu Sisi
1. Imejaa wachezaji wa kigeni
2. Haina mdhamini
3. Timu zina ukata uliopindukia unaoweza kuzifanya ziuze hata mechi.
4. Marefa wanaidai TFF
5. Timu ya taifa haina maandalizi mazuri
6. Bajeti ndogo kupindukia.
7. Wachezaji wanatishwa na kuogopeshwa