Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kipindi hiki kimekuwa kigumu kuliko cha Marehemu Magufuli. Tozo na Kodi zimekuwa za kikatili na kinyonyaji sana.hawa watu hawajali kabisa maisha ya maskini.
Mwigulu, Wabunge hawa tunawalipia hizi kodi kwa kodi zetu. Mishahara wanayoipata na vipaumbele vyote ni kutokana na kodi zetu. Huyu Mwigulu hana utofauti sana na Shetani. Nahisi kama yeye anamwita Shetani Mjomba. Wana undugu. Mwigulu ni katili sana.
Wabunge nao wamejinasibisha na Ushetani huu hawa nao ni wachawi kama wachawi wengine.
Najiuliza anayezibariki je? Huyu naye anaonesha kukosa Utu kabisa...yaani huyu anaweza kuwa ni mmoja kati ya watu wa karibu sana na Shetani pia.
WANANCHI TUWACHUKIE WATU HAWA. TUWAKATAE KWA UHUNI WANAOTUFANYIA.